Rayvanny releases best music for corona virus sensitisation: No. 1 on trending

The Tanzanian hitmaker Rayvanny recently released a jam, Corona that went viral in a blink of an eye. His song was meant to sensitize everyone to take care over COVID-19 outbreak. The pandemic which broke out from China, spread all over the world killing thousands of people both in China, Europe and other countries.

Rayvanny -CoronaOfficial video

Corona! coron! corona!

wote tumwombe mungu

kwa hili janga,

ikibidi lipitee

Tujihadhari na tujukinge,

Loading...

Ili lisitufikee

Habari kote duniani

zimeasambaa

Ugonjwa unaua

na hauna tiba

Na wengine wetu

maskini hatujiwezi

mwenyezi mungu kawe tiba

Watoto wetu mashule, aah

kwenye vyombo vya usafiri

mama zetu sokoni, aah

makazini tujilindee

Osha mikono, aah

Epuka mikusanyiko

sio ya lazima , aah

na uonapo dalili

mapema wahi hosipitali

corona , corona, corona

corona, corona , corona

corona, corona, corona

corona, corona, corona

You can download the music here!

click here

To send message click here

Loading...